Wednesday, May 25, 2016

UKUMBI WA MAPOKEZI YA MBIO ZA MWENGE - IKWIRIRI FDC


Huu ni ukumbi ulioandaliwa jana tarehe 24.5.2016 kwa ajili ya viongozi wa mbio za mwenge. Viongozi hao walipumzika hapo, walifanya maongezi kidogo na kupata chakula cha jioni

(picha hapa chini)



No comments:

Post a Comment