Tuesday, July 19, 2016

JINSI YA KUJIUNGA NA CHUO CHA MAENDELEO IKWIRIRI FDC



Taratibu za kujiunga na chuo ni kwamba kwanza yanatolewa matangazo kwa kubandikwa kwenye mbao za matangazo kwenye ofisi mbalimbali, katika wilaya ya Rufiji na pia kwenye makanisa na misikitini. Anayetaka kujiunga huchukua fomu na baadae kufanya usaili.
angalia kwenye "ADMISSION " tab kwa taarifa zaidi na za kina.

Waweza kusiliana na uongozi wa chuo:

POSTAL ADDRESS:
IKWIRIRI FDC,
S.L.P 50,
IKWIRIRI, RUFIJI.
PWANI.


NETWORKING ADDRESS:
Email: principal.ifdc@gmail.com, ikwiririfdc@gmail.com,
Blog: ikwiririfdc.blogspot.com

TELEPHONE
0784395754
0754465352

FAX
255-022-25502301101

No comments:

Post a Comment