Friday, July 22, 2016

KILIMO CHUONI

shughuli za kilimo ni shughuli muhimu katika taifa letu. hapa chuoni tunatoa mafunzo ya kilimo na mifugo. wanachuo wanasiriki kikamilifu katika shughuli hizi ili waweze kujiajiri na kuajiri wenyewe ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana.








No comments:

Post a Comment