Wednesday, August 10, 2016

MKUU WA WILAYA YA RUFIJI LEO AMEKITEMBELEA CHUO CHA IKWIRIRI FDC.

Mkuu wa wilaya - Juma Njwayo, amekitembelea chuo na kuongea na wanachuo na watumishi wa wa chuo.   Ameahidi kukisaidia chuo kupata visima vya maji viwili, computer za kufundishia na vitabu vya kiada kwa ajili ya kufundishia na wanachuo kujisomea.


Mkuu wa Wilaya (katikati), Mkuu wa Chuo (kulia) na M/kiti wa bodi ya Chuo (kushoto)
Mkuu wa chuo (Mama Cecilia Mfuko) kwa niaba ya chuo kizima, ametoa shukrani za dhati kwa mkuu wilaya kwa kusaidia vitu hivyo amabvyo vitakuwa msaada mkubwa hapa chuoni na kuondoa changamoto mbalimbali.








No comments:

Post a Comment