TANGAZO
WANACHUO WOTE MNATANGAZIWA KUWA WAKATI WA KURIPOTI
CHUONI (TRH 02/08/2016), MNATAKIWA KUFIKA OFISI YA MRATIBU WA MAFUNZO KWA AJILI
YA KUPATA TARATIBU KABLA HUJAKABIDHIWA CHUMBA
MNATAKIWA KUZINGATIA TANGAZO HILI, KWANI UTAKUWA
UMEKIUKA TARATIBU ZILIZOWEKWA ENDAPO UTAKWENDA KINYUME NA TANGAZO HILI
No comments:
Post a Comment