IDARA YA KILIMO ndio idara ya kwanza kabisa katika chuo cha IFDC. Chuo hiki kihistoria kilianzishwa kikiwa na idara ya kilimo na mifugo ili kuwasaidia wanajamii ya Rufiji katika shughuli za kilimo na mifugo. lakini leo kuna idara tano.
kupitia shughuli za kilimo chuoni wanafunzi wanapata mafunzo kwa vitendo na kuwafanya kuwa na uzoefu mkubwa, na hatimaye kufanya vizuri katika mitihani yao.
No comments:
Post a Comment