MAMA COURSE

Chuo kinafanya mradi wa MAMA KOZI chini ya taasisi isiyo ya ,kiserikali - Karibu Tanzania Association (KTA) ambao unawasidia akina dada waliopata ujauzito wakiwa shule ya msingi na sekondari. Kwa hiyo chuo kinawawezesha kupata mafunzo yatakayowafanya waweze kujiajiri na kuendeleza maisha yao
Watoto wao pia hulelewa hapa chuoni na kufundishwa kusoma na kuhesabu.







No comments:

Post a Comment