KIKAO CHA KAMATI YA YA WIALAYA CHA KUTATHIMINI MALI ZA WILAYA KATI YA WILAYA MPYA (KIBITI) NA WILAYA MAMA (RUFIJI)
Jana tarehe 1/06/2016 katika ukumbi wa chuo cha Ikwiriri FDC,kulikuwa
na kikao kilichoitishwa na mkuu wa
wilaya ya rufiji kwa ajili ya kujadili mgawanyo wa rasilimali watu na rasilimali vitu
kama majengo, viwanda, majosho, ardhi n.k.
Kikao kiliazimia kupitisha maazimio yaliyowasilishwa na
kamati ndogo ya kugawanya mali za wilaya iliyoundwa na mkuu wa wilaya.
Mkuu
wa chuo mama Cecilia mfuko alihudhuria kikao hicho kama mkuu wa idara ya
ikwiriri fdc.
mungu akupe uzimaa mama mfuko kwa kuendelea kukiendesha chuo
ReplyDelete