Wednesday, August 17, 2016


KIKAO NI CHOMBO MUHIMU SANA KATIKA MAENDELEO YA TAASISI YOYOTE.  CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI IKWIRIRI KINAKAA VIKAO KUTOKANA NA MUONGOZO WA VYUO ILI KUJADILI NA KUWEKA SAWA MASUALA MBALIMBALI MUHIMU YA CHUO.
HII NI KUTAKA KUONA KWAMBA TUNATOA WANACHUO WALIOIVA KIMAFUNZO, TABIA, WELEDI NA BIDII YA KUFANYA KAZI.

No comments:

Post a Comment